Duration 1:35

Watu 22 waliotangamana na mwanamke aliyepatikana na Corona watengwa

27 760 watched
0
102
Published 14 Mar 2020

Watu 22 wametengwa katika kitengo maalum cha kushughulikia virusi vya corona katika hospitali ya Mbagathi. Kwa mujibu wa serikali, watu hawa ambao matokeo ya violezo vyao bado yanasubiriwa ni wale waliotangamana na mwanamke aliyethibitishwa kuwa na virusi hivyo hapo jana aliyewasili kutoka nchini Marekani. Aidha, watu wengine 23 waliosafiri na mkenya huo ambaye ameendelea kutengwa katika hospitali ya Kenyatta wametakiwa kujitenga waliko kwa siku 14 ili kuzuia athari zozote. Haya yanajiri huku serikali ikisema imeendelea kuweka mikakati kuthibiti hali nchini

Category

Show more

Comments - 61