Duration 1:12

UBUNGE KIGAMBONI: MPOKI ALIVYOTUMIA DAKIKA 1 KUJINADI

24 568 watched
0
80
Published 20 Jul 2020

Sylivester Mjuni 'Mpoki' akieleza wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kigamboni katika mkutano wa kupiga kura kwa watia nia wa kugombea nafasi za Ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

Category

Show more

Comments - 12