Duration 6:28

Mabadiliko yaliyotangazwa na TCU baada ya agizo la JPM kuhusu Udahili Vyuo Vikuu

19 302 watched
0
121
Published 20 Jul 2017

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetekeleza agizo la Rais Magufuli lililoitaka Tume hiyo kutowachagulia Vyuo Wanafunzi badala yake waombe wenyewe Vyuo wavipendavyo.

Category

Show more

Comments - 13