#RABAONETV #Whatsapp_0755912838 Jinsi ya kutengeneza sabuni ya mchele,Diy a Rice soap
Sabuni ya mchele ni sabuni ya urembo ambayo inatakatisha na kukupa muonekano mzuri Sana wa ngozi yako , na kuacha ngozi ikiwa laini na nyororo Sana , sabuni ya mchele ni Kati ya sabuni nzuri Sana kwenye Mambo ya urembo.
Iyangalie video hii mwanzo mwisho.