Duration 10:41

Jinsi ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia WhatsApp Maujanja 85

42 627 watched
0
431
Published 30 Dec 2018

Jifunze hapa Njia Rahisi ya kuweza kutengeneza pesa mtandaoni kwa asilimia 100, njia hii inaweza kusaidia kutengeneza pesa ambazo zinaweza kusaidia kwenye mambo madogo madogo, unaweza kupata pesa zaidi kwa kufanya hatua hizi zaidi. UPDATE KAMA UNATUMIA NJIA HII KUANZIA MAY 10 SASA TUMIA DIRECT LINK NA SIO SMART LINK KWANI SMART LINK ZIMEONDOLEWA NA PROPELLER ADS. UPDATE Unaweza kuangalia Part 2 ya njia hii ambayo ni rahisi zaidi ambayo itakuwezesha kupata pesa kwa haraka kwa kutumia App yako ya WhatsApp, Angalia video hiyo hapa - /watch/Qtf16QYAWMmA1 LINK MAALUM 1. Bofya hapa kutengeneza Akaunti ili kupata pesa - https://bit.ly/2DRkg3f 2. Bofya hapa kusoma maelezo hatua kwa hatua - https://bit.ly/2Qa8PFx 3. Bofya hapa Kudownload App ya Tanzania Tech - https://tanzaniatech.one/url/apps 4. Bofya hapa kujiunga na bity - https://bit.ly/2QUn7zn KWA HABARI ZAIDI ZA TEKNOLOJIA TEMBELEA TANZANIATECH.ONE NAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA WENYE MAFANIKIO, TUKUTANE MWAKA 2019 MUNGU AKIPENDA. #PesaMtandaoni #WhatsApp

Category

Show more

Comments - 97