Duration 8:14

Ben Pol kubadilisha dini na kuwa Muislamu, ni uthibitisho kuwa ndoa yake na Anerlisa imevunjika

38 165 watched
0
590
Published 23 Oct 2020

Category

Show more

Comments - 548
  • @
    @nasraabdallah8504 years ago Mashaallah Allah akujaalie mwisho mwema kaka ang honger sn 💕💕💕🙏🤲👏👌kwanza umependeza sn kuwa muislam 41
  • @
    @binthassancollection.63084 years ago TAKBIIR
    ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
    PONGEZI KWAKE KWA MAAMUZI MAZURI. KARIBU KTK UISLAMU MZEE BABA.
    36
  • @
    @kassimrajabu78054 years ago Karibu sana Shekhe..... Allah akufanyie wepesi in sha Allah. 26
  • @
    @abdulazizimbwana15864 years ago Mwenyezimungu amuongoze katka kila jambo 46
  • @
    @clemkiz23764 years ago "SNS" deserves "4 Billion Views". Cz this chanel is more than chanel, it is "SNS" for sure 🙌👍. 11
  • @
    @sabrinamohammed53784 years ago MashaAllah congratulations umezaliwa upya 16
  • @
    @babyhamisi53314 years ago MashaAllah tabarakaAllah vizuri Sana, Allah amfanyie wepesi katika maisha yake 12
  • @
    @zuleikhakhamis33034 years ago Allah amjalie mke mwema wa kila kitu ili apate kuijua dini zaidi na afaidike vizuri ktk dini ya kiislam tuseme amiin 6
  • @
    @khamisshee51314 years ago MashaAllah mabruk
    Takbir Allahu Akbar
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪aka bachuchu mombasa
    6
  • @
    @zou74704 years ago Mansh'allah akuongoze akupe mwisho mwema ufe ukiwa na shahad insh'allah 🙏🙏🙏 9
  • @
    @aminamnyaruge85744 years ago Kwanza niseme TAKBRIIIRAA.. Then Ben Pol amejiuliza ndoa za kikristo huwa hazivunjikagi na umri bado Mdogo hawezi kuishi bila mke ikabidi abadili dini ili apate ndoa Tena.. Mwenyezi Mungu amjalilie kila la kheri 59
  • @
    @maryammdoe58014 years ago TAKBIIIIIIIIIR ALLAHU AQBAR
    Masha ALLAH benham karibu sana kaka yetu ktk dini ya hakki ma sha Allah ALLAHu akbar ALLAH akuongoze na atuongoze sote
    1
  • @
    @sofialion49254 years ago Mashaallah Tabaraka Allah akuongoze akupe yalio kher yarab 4
  • @
    @hatimahalikhamis13334 years ago Mashalla shukran Sana kwa kujua ukweli
  • @
    @alhaddajmohammed47684 years ago Ameingia ktk Uislamu aingie kikwelikweli kwamaana afuate sheria na mafundisho ya Allah S.W kupitia mtume Muhammad S.A.W, sushi na mkewe ktk maisha ya UchaMungu,azidi kuusoma Uislamu, ataraji maisha mema Akhera asifuate mali,now, sura, sifa/umaarufu kwa binadamu inshaAllah Allah azidi kuwaongoza. Washauri ndugu na marafiki na jamaa wa karibu ili waufahamu Uislamu maana Uislamu unapakwa matope sana. ...
  • @
    @williamkavuta80664 years ago Kachanganyikiwa huyooooooo! tena badilisha kila kitu! Yesu ana mtaji wa watu wengi sana 2
  • @
    @boballymote75864 years ago Mabrouk behnam karibu katika uislam ndugu Allah akufanyie wepesi kujua vizuri uislam na akuongoze kufata uislam unavyo taka sio kuislim amiin
  • @
    @kassimchitseko92474 years ago Ma Sha Allah. Allah Amuongoze zaidi na zaidi
  • @
    @habibamahamed55874 years ago mashallah ndoa yenu iwe ya kheri🤲🤲🤲Ameen 3
  • @
    @mohammedrajabu74494 years ago MaashaaAllah kaka ben pol karibu ktk dini tukufu ya uisilam
  • @
    @mwanahalimamwachili96794 years ago TAKBIR,ALLAH AKBAR, MAA SHAA ALLAH, MAA SHAA ALLAH, KARIBU SANA. 3
  • @
    @fhvbvgkvgc80734 years ago Mabrooq bro karibu, umezaliwa tena upya.
  • @
    @hassanbabakesonia84044 years ago Taqbiiir... Karbu kaka, Allah akuongozee behnam 1
  • @
    @khamoshmikidadi92624 years ago Maashallah mng azidi kukulinda n mahasidi karibu ktk uislam🙏
  • @
    @aminamohamed99554 years ago Mashaallah Mungu akupe afya njema ufe katika wiisilam
  • @
    @mayasama1474 years ago Taqbiir kaka benard Paulo mtoto wa vingunguti mungu akufanyie wepesi uijue dini ulioiendea insha'Allah..
  • @
    @zezezeze84084 years ago mashaAllah tabaraka rahman.....Allah akuongoze ktk maisha yako
  • @
    @binthkhamisi10974 years ago Masha Allah...mungu akujalia kwa kila la khery
  • @
    @sgfdhaikuhusu60864 years ago Mashallah takbir mungu akupe mwisho mwema umependeza hakika uislam ni vazi zuri
  • @
    @abubakaryalmas76734 years ago Karibu sana brother katika uislamu, na natamani sana kuifahamu sababu ya kubadili dini
  • @
    @aminamwanakombo20974 years ago Mashaallah tabaraka allah mungu akujalie mwisho mwema 🙏🙏🙏
  • @
    @myfetty19604 years ago Mashallah mungu akusaidie kwenye kila zito kalibu kwenye dini ya haki
  • @
    @hairumwinama18654 years ago Allah akupe kujitambua na kusimamia taratibu zake alizoziweka katika uislaam
  • @
    @messaabbas83464 years ago MaashaaAllah ❤️❤️❤️❤️❤️may Allah protect you and guide you in new life to be A Muslim welcome to the Islamic 🥰🥰🥰
  • @
    @alyebaby21074 years ago mashallah Takbir welcome 2 Islamic from knya🇰🇪
  • @
    @lameyajaff88814 years ago Karibu behnam allah akufanyie wepes inshaallah 7
  • @
    @user-lt5hc4re2f4 years ago Masha allah masha Allah mashalla Allah tabark rahman masha Allah ya akhy Allah akuongezee ktk kila la kheryy (takbr, Allah huakbar)
  • @
    @shamimhayat76374 years ago Takbeer Allah u akbar Allah guides whom he want 2
  • @
    @lenoxbuhanza49264 years ago Simlaumu ila ajiandae kushuka na kupotea mazima kimuziki na yeye anajua kwamba wazazi wake ndio watakua wakwanza kukunja heri zote 4
  • @
    @ligmmohd81124 years ago Mungu alivyokuwa mwema,jamaa hapo yupo msafiiii amefutiwa madhambi yote yan akifa hapo peponiiiiiiii. 1
  • @
    @hidayaking33834 years ago Mashalla karibu sana kwenye dini ya kwe 🙏🙏🙏🙏🙏 nimefurahi sana
  • @
    @husseiniddisalimbale81274 years ago Dah hongera bro, maamuzi ambayo hutayajutia, mungu akuongoze, kitendo hicho kinafanya unafutiwa Dhabi zote ,now you like a new born ,dah mpaka natamani ufe coz utaenda straight to the heaven,
  • @
    @rqiyaabdallah8404 years ago Mashaallah Kari bu sana kaka
    Allah akuongoze
  • @
    @mariamothman20004 years ago Mashallah karibu Allah akufanyie wepesi
  • @
    @leylamohamed99394 years ago Kwa Waislam, Mwanaume akibadili dini au Mwanamke akibadili au wote wakibadili.. NDOA inabaki ile iliyofungwa.. Kwa Waislam kwetu iko hivyo. Ila kwa suala la Ben Paul kubadili dini inampasa wote na mkewe wabadili ila NDOA haivunjiki kwa sisi waislam.. NDOA ni ile moja unless wapeane talaka waachane for Good... na kila mtu awe na yake. ...
  • @
    @mahadimatsawily58094 years ago Mashallah! Mashallah! Allah akuongoze katika njia iliyo nyooka na atujaalie mwisho mwema.
  • @
    @florabaruti80324 years ago Mmekazaniania mashallaah mwenzenu anapotea akafie mbele na kutapatapa simbilis mkubwa huyu
  • @
    @khadijasalum23024 years ago Alhamdulillah allah akufanyie wepesi ktk kuingia ktk uislam
  • @
    @fatmaothmanally94164 years ago Allah akuongoze kaka angu karib katika uislam 😘
  • @
    @salmaathuman91564 years ago KWANZA NASEMA BISMILAH MASHAA ALLAH TAKBIRIIIII ALLAHU AKIBAR KARIBU KAKA KATIKA DINI YETU MUNGU AZIDI KUKUONGOZA INSHAA ALLAH 🤲🤲🙏🙏🙏
  • @
    @subiramohd18954 years ago Allwahu akbar umependeza sana kwa Allah na muone kano wako wa macho Allah atupe mwisho mwema
  • @
    @tajjudinihaji27764 years ago Allah akupe maisha mazuri na ya furaha ..karibu katika dini ya haki ..Allah umfanya amtakae na umbadili amtakae so ukipata chance km hii usiichezee coz Allah ndo anajua zaidi akuna dini isipokua islam na kitabu ni Quran na kiongozi wetu ni rasul llah.swt ..soma fanya ibada Allah amekuchagua so dont push ur lucky ...
  • @
    @sistertrashid24884 years ago ALLAH AKBER KARIBU SANA MUNGU AKUONGOZE USHIKE DINI HASWAA NA UJIFUNZE QURAN INSHAALLAH
  • @
    @djyondergigi10274 years ago Masha Allah subhana Allah Alhamdulliah 1
  • @
    @marinamooh40554 years ago Takbiriii Allah Akbar
    MashaAllah
    Karibu Kwny Uislam
  • @
    @alriyamy6134 years ago Umekanya jambo kubwa sana broo ktk maisha yko,Allah anakupenda ww,let away your super star status. Que Allah te abençoe
  • @
    @ummyzee62474 years ago Takbir,Allah Akbar, yarabi mfanyie wepesi yarabi
  • @
    @RandB_Channel4 years ago Watu wako wanachezeya ndoa kweli umefunga ndoa haijapita hata mwezi kisha leo hii ime vunjika daaaa huruma sana
  • @
    @kadijajggf93674 years ago Takbir Allahu Akbaru MashaAllah🥰 karibu bro Benham
  • @
    @dullydullahsenior7564 years ago MashaaAllah Allah amuongoze kabisaaaaa
  • @
    @jasminjuma63904 years ago Masha allah tabarakallah karibu kwenye dini ya haqi
  • @
    @cendrillonnam45494 years ago Takbir !!!! Allahu Akbar !!!! Welcome my brother ❤️🤍🤍🤍🤍❤️ 3
  • @
    @fridajosephyusif43644 years ago Amebadili ili aoe tena kwa kiislam maana ukristo ni ndoa ni moja tu kuwa muislam lkn sio moyonii kwa ajili ya kitu
  • @
    @swahilitherapytv38464 years ago ALLAH AMDUMISHE KWENYE DINI YETU YA KIISLAMU, KWA HAKIKA AMEFANYA JAMBO KUBWA SANA, JITAHIDI KAKA UFE UKIWA MUISLAM ALLAH AMEKUONYESHA KHERY KUBWA SANA.
    TUFE SOTE TUKIWA WAISLAM. AMEEN
  • @
    @mariamothman74044 years ago Neema maullah Alhamdhulillah Allah akufanyie wepesi☝
  • @
    @ankalmzito25454 years ago Taakbiiiirrrr....Takbiiirrrr..Takbiiiirrrr Allaaaahu Akbarrrrr.......