Duration 2:12

Fally Ipupa wa nchini Congo athibitisha Kutua Dar Tanzania 2021

5 963 watched
0
171
Published 14 Apr 2021

Fally Ipupa wa inchini Congo amethibitisha kutua jijini Dar es salaam nchini Tanzania Hivi Karibuni,mwaka huu 2021,Fally ameonekana pamoja na bossi wa kituo cha Redio cha #cloudsfm ndugu Joseph Kusaga ,nchini Dubai. hata hivyo #Fallyipupa amechukua wasaa kuwathibitishia mashabiki wake wa nchini Tanzania juu ya ujio wake huo kupitia post aliyouweka kwenye #instastory yake. Tazama hapa #chimaburudani #cmtv

Category

Show more

Comments - 11