Duration 1:50

KAULI YA KWANZA YA CEO WA SIMBA BAADA YA KUSIKIA BILIONI 225.6 ZIMEWEKWA MEZANI

14 527 watched
0
92
Published 25 May 2021

Azam TV na Bodi ya Ligi (TPLB) wameingia mkataba wa miaka 10 wa haki za matangazo ya urushaji wa mechi za Ligi Kuu Tanzania bara wenye thamani ya Tsh Bilioni 225.6, baada ya kuingia mkataba huy tuliongea na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.

Category

Show more

Comments - 6