Duration 26:28

MREMBO Aliyepostiwa na 50 CENT Azungumza Sijafurahishwa na POST YAKE

350 448 watched
0
1.9 K
Published 22 Feb 2020

MREMBO Aliyepostiwa na 50 CENT Azungumza "Sijafurahishwa na POST YAKE! Mwanamuziki wa Marekeni, 50 Cent aliwahi kupost picha ya mrembo huyu Nicole kwenye ukurasa wake wa Instagram na hivyo kuzua mjadala mkubwa, leo amezungumza kilichotokea.....GLOBAL TV IMEZUNGUMZA NAYE.... UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 1078
  • @
    @nenadurra84774 years ago I like you nicole, very independent woman. I like you so much! This is the message to all tz women. You can do it yourself, welldone! 63
  • @
    @shafiimpilika82644 years ago Kama unaamini wanawake wengi wanaiga sauti ya wema sepetu gonga like hapa tujuane. 4
  • @
    @wilfredmichael19094 years ago Asante sana kwa interview hii ya kujenga. 1
  • @
    @johnshadrack14814 years ago Dada mtangazaji nimekukubali! Unaitwa imelda mtema. Umetisha sanaaa, nimekukubali. 4
  • @
    @annakattoa75024 years ago She beautiful, and smart mengine atajua mwenyeweew na mungu wake, enjoy the life you choose bebe. 7
  • @
    @saidhamoud22964 years ago Dada mtangazaji nimekupenda sana mdogo wako upo kiuhalisia zaid
    piga kazi.
    3
  • @
    @JamesMunisi4 years ago My first impression: this lady is calm and got brain. 4
  • @
    @minormine44174 years ago I like her, she is cute no matter what! Keep it up nicole.
  • @
    @ladymadam20394 years ago I like the fact she admits she has a child many always hide.
  • @
    @anjelinakasembe8454 years ago Safi kabisa nicol l am proudhons for you utaka vijana waongo.
  • @
    @abrahamjoseph25894 years ago Yeah kweli kwa kulima wewe ni uko vizuri. 5
  • @
    @kessynurutajiri30754 years ago Kuna wakati nicole alituambia alizaliwa south africa na iringa, hivi inakuaje mtu azaliwe ktk nchi mbili? Huyu mwanamke si mkweli. 6
  • @
    @betsonmugisha96044 years ago Mtangazaji jiweke vizuri, uko kienyeji mno
    we mrembo kweli ila utakuwa na matatizo kama waliyonayo warembo wengine vinginevyo unapaswa kuwa na familia.
    39
  • @
    @sameerlema99544 years ago Hii inaitwa am proud to be tanzanian mtoto tako. 19
  • @
    @mohamedelmi74354 years ago I' m not tanzanian but live in dsm, the end of the world is near, i have no right to judge her, but immorality is the end of us black people.
    id="hidden2" />a women is like a pearl she should be had to find and men should sweat for her.
    the end of the world is truly near
    . ...Expand 18
  • @
    @law24554 years ago Mtangazaji imelda mtema munguni fitina kwa mavazi. 3
  • @
    @neyjoseph8134 years ago Akili unazo sema ndo hivyo mambo ya kidunia yamekutawala. 38
  • @
    @beatrice36714 years ago Unaongea point sana sissy ingekuwa wadada wengine hapo wangeji proud balaa.
  • @
    @kimmenelus78354 years ago Daaa sawa bana, alijisemea dr shikamakali tuu kidogo. 16
  • @
    @samymdundu4 years ago Kumanisha na izo pingirii walioelewa naomba pitisha like yako hpa.
  • @
    @leylahley35424 years ago Sauti sasa. Wema mungu akubariki huko ulipo. Ila ujue tu mungu kakutunuku sauti nzuri sana ambayo inawapa watu shida kila mmoja ataka azungumze kama wewe/. 43
  • @
    @sammysammy20014 years ago Unanichekesha kweli nampenda unavyo igea dada big up.
  • @
    @salymkitumbika86444 years ago Duh imelda unazingua bwana em vaa kisasa simaanishi uvae vimini laa vaa smart funga mtandio vizuri vaa gani zurii top nzuri siohivyo kama unaenda kuoshavyombo ama kufua kama sio kunyonyesha. 2
  • @
    @balqisabdullah62004 years ago Kwani huyu si ndio yule mrembo aliezaliwa mara mbili iringa na south africa? 48
  • @
    @eddydben4 years ago Sasa kama hupendi kujulikana mbona unatumia instagram. 4
  • @
    @wilbrodyteophano14084 years ago Nicole big up " " heshima yako kusamini kilimo. 5
  • @
    @princeimani80784 years ago My name is prince i live in south africa i love you so much. 6
  • @
    @kankylian83474 years ago Nimempenda dada nicole yupo vzr afu hana shda kikubwa warembo kuiga mfano sio kusubiri maboy wafanyee. 6
  • @
    @cutiethuma99314 years ago Let' s be honest for once. What kind of dressing code is that. Presenter please dress according to your work. 50
  • @
    @pattyindia45924 years ago People really mad at ur dress code dear interviewer. 5
  • @
    @lightnessseifu59834 years ago Du dada mungu alikuumba banaa ee. Hawa sijui wakina sanch watulie tu. Nakupenda sanaaaww ni mzur na wanaokuchukia wana wivu na ww tu.
  • @
    @msafirikalinga69384 years ago Hahaa, #39; ndimgaya sida' safi sana mhadza vangu. 1
  • @
    @kennyrogers47343 years ago Alikuepo marehem agnes masogange sasa wakati wa nicole next? Au anaefuata?
  • @
    @chavalabrandtv53154 years ago Waichana kama ninyi mtazeeka tu hamwezi kuolewa maana unalewa na maumbile yenu na vilena wengi. 7
  • @
    @kuchiethephenomenal78794 years ago Nani ameskia wanaosema wananijua, me siwajui kwanini wananijuajua nimecheka. 2
  • @
    @nancyshamba24414 years ago Wow nicole. Ishi utakavyo mama na ndo maana mungu yu pamoja nawe. Hayo maisha ndo nayaihitaji.
  • @
    @sharonmakungu91854 years ago Ai presenter kwani ulitolewa shambani uje kufanya interview dress code ni noma sana. 2
  • @
    @madamloveness72744 years ago Kuna dada mmoja nasali nae ana umbo matata ila huji muona kavaa nguo fupi wala kakaa uchi ana watoto 3 ukimuona utadhan hajawahi zaa. 61
  • @
    @joshuathiga91454 years ago I like the lady she is composed hana madaha pia kuongea ni mtulivu. Daah. Mrembo kweli. Nicole whats you ig i will like to follow you.
  • @
    @khalidtv62004 years ago Huyo nicole sindio video vixen wa bedroom ya harmonise! 8
  • @
    @misscall78144 years ago I thought she once said that she was born in southafrica mpka age 7 no kaenda iringa. 11
  • @
    @wendysam28814 years ago Wewe mtangazaji wa aina ngani unavaa kama wazimu. 5
  • @
    @anjelinakasembe8454 years ago Safi nicollmausiano yakipita yamepita. 1
  • @
    @wamberelove47224 years ago Did you say shes no me? Chesos tz stick to swahili kindly. 5
  • @
    @pendojulius82924 years ago Watu hatupendani my jipende wewe kwanza natamani niwewewe.
  • @
    @aikamungure70564 years ago Ni mzuri, na zaidi sana anamtegemea mungu.
  • @
    @serianjamal82544 years ago Mimi naamini ni umbo lake, nilikuwa narafiki yangu anaitwa irene, jamani alikuwa anashepu hiyo ni chamtoto, tumezaliwapamoja, yaani alikuwa ni moto namimi sasahivi naishi uk. Wanawake tunaweza kujitegemea wenyewe sio lazma mabwana, ni kazi tuu. ...Expand 6
  • @
    @mwanaishahussein26354 years ago Hongera mrembo kwa jitahada zako kimaisha, nikuambie tu, hakuna waume. Mwanzo wanao lkn mwisho hawna. 3
  • @
    @mkushplatnam15954 years ago Uyu ni kama wale samaki wa mapambo, niwazur lakin hawanafaida zaidi ya kufraisha macho, kwa anae tafuta mke hawezi kumwazia uyu, 26
  • @
    @alisonngaila98274 years ago Doh. Et jitihada za kujenga taifa. Wadada bana, jibu ni tofaut na swali. 1
  • @
    @sharifamfaume93424 years ago Natandika kuna familia ipo mpaka watoto wanaogopa kwenda shule wanachekwa yaani simishepu weeh, mamayao alichanywa na kiwembe kaliakoo ili wasibitishe kama hajavaa manic. 6
  • @
    @neemakawogo71534 years ago Asante! Ndimgaya sida chezea mnyaluu ww. 5
  • @
    @budigabirdman45584 years ago Nafikiri nicole ni mtu tu mpole hapendi mambo ya watuu ama kuingiliana na watuu sanaa and she iz an interligent lady for sure anajiheshimu.
  • @
    @geofreymsengi99714 years ago We fala kweli tena ishia hapo hakuna mtoto mbaya. 4
  • @
    @mpelienock4 years ago Effects zenu za matangazo ziko juu sana punguza kidogo tangazo za global tv lisiwe kero kwa mimi mtazamaji maana huwa kuna mda natumia speaker za bluetooth, . ...Expand
  • @
    @user-xi1pi4zr3b4 years ago Mtangazaji umetuangusha kwenye uvaaji wako, usiwe km wengine wavaa uchi jieshimu dada. 8
  • @
    @joyceshirima82444 years ago She' s no me hahaha jaman nikole embu punguza uzungu banna. Then global please angalien uvaaj wa watangazaji wenu. Uyo mtangazaji ndo kavaabanna awe smart. 1
  • @
    @erinnaswedy72134 years ago Strong woman never give up hop kwa woman' s wote. 3
  • @
    @bakarimakame83464 years ago Wewe nicole hilo umbo na maisha uliokuwa nayo visikufanye ukamsahau mungu wako hakukuumba ili uje utembeze uchi wako na kupotosha viumbe wake tambuwa kuwa . ...Expand
  • @
    @happysanga25104 years ago Nimekupenda mtangazaji uko ki og zaid o. 1
  • @
    @fainnamvungi43644 years ago Uuuuwi kumbe ni mpare kama mimi sema sio mimi. 1
  • @
    @hamisisha4 years ago Hivi hii nchi kumbe kuna mabaki mengi tu ya udongo wa mercury umemtengeneza huyu binti anavutia namna hii. 14
  • @
    @meluboalais72864 years ago Inawauma mungu alivyokumba. Usitushike.
  • @
    @allykita24444 years ago Ila mtangazaji mungu anakuona! Ndio nini kutuvalia mavazi ya ajabuajabu? Badilika bwana! 173
  • @
    @hedwigjohn62764 years ago Hawa wafanyakazi wa global wanashida gani jamani au macho yangu sio kwa uvaaji uo.
  • @
    @yareshonorine98334 years ago Kwenye picha mweupe kwenye interview mweusi duh. 2
  • @
    @nenadurra84774 years ago What is this nation condoning? Why that voice? Why? Just be yourself. 28
  • @
    @veronicamwanyika72264 years ago Aliyesikia mtangazaji kasema sieni badala ya esien like hapa.
  • @
    @salamamsusa1994 years ago Imelda we nimtangazaji mzuri sana jaribu kujitahid kuvaa vizuri yani daah.