Duration 10:52

MADAM MARTHA BARAKA -INJILI INASHERIA ZAKE - Miaka 17 ya Huduma ya uimbaji.

3 670 watched
0
36
Published 7 Oct 2020

@Wimbo wa "MAUA" ni wimbo ambao nilipewa na Mungu nikiwa katika hali ya kutafakari sana,Niufunuo ambao nilipewa kwaajili ya kusababisha maisha ya mtu mmoja yabadilike,ndiyo maana nikaona niuite "UMPAMBE YESU MAUA".#

Category

Show more

Comments - 24