Ukatili dhidi ya watoto bado unaendelea.Mtoto huyu afanyiwa ukatili na mama yake wa kambo,Ni binti wa miaka 11 ageuzwa msichana wa kazi na kupigwa sana hadi kuvimba.Wababa wa mtaani washindwa kuvumilia..Fwatilia kisa hiki cha kusikitisha kisha utoe maoni yako.
#geahhabibu #GeahTv #MatukioYaGeah
Category
Show more
Comments - 492
Related videos for MTOTO AFANYIWA UKATILI NA MAMA WA KAMBO/AGEUZWA MSICHANA WA KAZI WABABA MTAANI WASHINDWA KUVUMILIA: