Duration 1:45:2

Determination Part 1 - Jacklin Wolper, Patcho Mwamba (Official Bongo Movie)

234 147 watched
0
910
Published 20 Jul 2018

Determination Part 1 (Jacklin Wolper, Patcho Mwamba) Zitto Ent Watch Part 2 Here: /watch/kzjju2Jd8pFdj CAST: Patcho Mwamba, Farida Rajabu, Ramadhani Miraji, Jacklin Wolper STORY/SCRIPT: Mandela Nicholus EDITOR: Moses A. Mwanjilu DIRECTOR: Salum Takadiri PRODUCER: Angelous Seif Subscribe to Africa Movies on YouTube here: http://bit.ly/AfrichaMoviesSubs #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment

Category

Show more

Comments - 107
  • @
    @queenanita27764 years ago This move is my favorite one i love it so much. 4
  • @
    @michaelmbatayaanikanumbani60664 years ago Kama una angalia hii mover uku unapitia coment kama mimi gonga lenk yako hapa. 42
  • @
    @user-mm5tf7yn6p4 years ago Nzuri saana mpaka le 6/5/2020tuko tunaiona. 7
  • @
    @hirathsanayaniyusif64576 years ago Wabong mnapend sana kukaa uchi shenz zenu. 8
  • @
    @marygorret.nansie.90746 years ago Give us part two guys yani ltz amazing. 2
  • @
    @youngmwema52665 years ago Movie nzur ila sio kwa kumbeba hvyo mwenzenu mlyemuokota. 4
  • @
    @saibusprinah99795 years ago I really love it, big up guys lkn uyo baba, 2
  • @
    @shamimomar57456 years ago Iko wapi part siku nyingne msifanye ivi mnaleta movie mzima nmebaki kwa njia panda movie mzuri. 1
  • @
    @montezelmuhsin90103 years ago Uyo dem wa kupiga pc mweny anapend kuvaa miwan ya red anajiskia sana i say anyway congrats guys.
  • @
    @jamilahjuma35524 years ago Movie nzuri na ubunifu wa kipekee, big up.
  • @
    @daynamwatija73053 years ago Jaman dada mpiga picha ni anasura mbaya hatar.
  • @
    @gracelaulant35184 years ago Mapoz yapicha sasa kama katuni wa maonyesho. 1
  • @
    @jumaaomarijumaa23315 years ago Shida ya matukio ya movie hayana mtiririko unaoeleweka hata kidogo. 1
  • @
    @lucyibrahimu77746 years ago Msiwe mnarusha part moja kama pili haijakamilika n ushaur tyu coz mnakatisha mccmko. 1
  • @
    @naomibenjamini20885 years ago Nilijuatu japo sijajua aina gani ya kemikali tangu lini mtu unashika kemikali karibu na uso tena unajigusagusa. 1
  • @
    @mummysfavourite33845 years ago Big uphuyu naye aliona wapi mtu achanganya kemikali kwa mikono mitupu halafu anashika macho. 1
  • @
    @zainabmaulidi37716 years ago Kabla sijaangalia inasaut kwanza maan nyie wabong mnawekag filam bila saut. 9
  • @
    @manniermkambe61844 years ago Movie nzr sana zaman walkuwa wanaact vzr bt nowadays most of the movies so boring n annoying. 1
  • @
    @hawaynatimam9825 years ago Najiuliza huko porini farida nguo kapata wap.
  • @
    @ukhtysakinaa76646 years ago Movie tamu pongezi kwa wahusika iko sawa part 2 plz. 2
  • @
    @hawaynatimam9825 years ago Inavyoelekea wales na farida mtu na kakaake, lakin wanakukulana.
  • @
    @avitusprince90795 years ago Vizr parcho mwambaa muvi nzr coz muwe mnatumia kiswahili sisi wabongo saw ushauri wa bure na uyo Dada ambaye anadisia mwanzo wa muvi nilikua naye Leo kwake mungu _awabarik_sana .. ...Expand 2
  • @
    @sylviachonge41655 years ago I love the background music. Whats the name of thewolper my best actress. 3
  • @
    @hajrarkuziwa7305 years ago Ss maji yenyewe ya kuogelea mbona machafu ivyo.
  • @
    @mrsmartgamingyt5946 years ago Where is part 2 amakweli bongo movie soko imeyumba we need part 2 film nzuri ila no sehem ya pili kwanini jamani. 1
  • @
    @lovjoyclaris12596 years ago Sipendi kuangalia filamu nusa nusu nasbiri hadi nione part 2 ndio niangalie. 9
  • @
    @user-qm2fw8pu4h6 years ago We mtt unakaa kfua wazi unatft nn kwa dady. 2
  • @
    @simonmoikhan3576 years ago Kwanini mnatumia kiingereza kwenye muvi ya kiswahili, ongeeni kiswahili. 7
  • @
    @esthermbilinyi94176 years ago Wa bongo bwana wana kingereza cha kuunga mnaharibu movie kwani mkiongea kiswahili tu kuna nn? 7
  • @
    @kimachoking66175 years ago Huyu naye na mapozi yake ya kupiga picha duh. 2
  • @
    @khairatyhassan94945 years ago Mmmh neno moja kiingereza kumi kiswahili hatari.
  • @
    @rodgersmarcus65795 years ago Huo mziki niwakishamba afu sauti haipo lugha pia haijazingatiwa. 1
  • @
    @aldshaghalamamahsbshshddhc2444 years ago Wales sinikampendga ss mpk leo njo whtp tufahamian 9689267993.
  • @
    @salijoreotz78275 years ago Why u guys use english while u dont know how to speak it. Ongeyeni swahili siyo munaongea broken english u guys doesnt make sense. 2
  • @
    @user-bo9yk6tc3c4 years ago Siwezi kuwa mzalendo kama kitu ni kibaya, huo utakuwa siyo uzalendo, ni unafiki. Kusema ukweli hii movie ni mbaya, kuanzia utunzi mpaka ujumbe. Visa havihusiani msituletee utoto kama huu. ...Expand 1
  • @
    @bijumakassim36976 years ago Nisiwe mchoyo wa fadhila shukran kwenu yote mulio husika mume weza. 2