Duration 1:00

NASA Watatumia Hili Jicho La DHAHABU Kuona Mwanzo wa ULIMWENGU Shorts

178 watched
0
3
Published 28 Dec 2021

Hiki ni chombo cha anga za mbali Jame Webb Space Telescope ni chombo chenye jicho la dhahabu litakalo weza kuona mwanzo wa ulimwengu sabubu wanasayansi wana amini ulimwengu ulianza na mlipuko mkubwa The Big bang! na kwasababu mwanga wake bado upo hiki chombo kinaenda kuuangalia. Subscribe kwenye channel yetu /c/Maxtechtv

Category

Show more

Comments - 1