Duration 10:17

Wazamiaji Wa Ndege Waliofia Kwenye Matairi Angani Kwa Baridi

19 306 watched
0
281
Published 17 Aug 2020

Wazamiaji Wa Ndege Waliofia Kwenye Matairi Angani Kwa Baridi Agosti 2 Kila mwaka, mashirika na taasisi mbalimbali duniani hufanya ibada maalum ya kuwakumbuka Fode Toukara na Yaguine Koita watoto wa Guinea Bissau waliofia kwenye ndege nchini Ubelgiji wakijaribu kutoroka umaskini na njaa nchini Guinea. Kifo chao kilisisimua sana dunia na kuacha kumbukumbu isiyofutika kamwe. Fatilia makala hii kujua hasa kilichotokea. JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV? WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724 EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com Follow Us On Instagram https://www.instagram.com/ananiasedgartz https://www.instagram.com/ananiasedgartv SUBSCRIBE https://bit.ly/2ZWGBXo Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. ______________________________________________________________________________________________ SIMULIZI ZA MATUKIO: https://bit.ly/2XlNCzg HISTORIA ZA VIONGOZI: https://bit.ly/3ezWg2X ELIMU ZA UKOMBOZI: https://bit.ly/3eCOK7m

Category

Show more

Comments - 41