Duration 45:12

MWIJAKU ANAMJIBU MANARA ISHU YA SIMBA MANARA AFUTE KAULI /TIMU ZINAHITAJI WATU WENYE TAALUMA

65 699 watched
0
411
Published 5 Aug 2021

NI Mwijaku ambae mudaa anazungumza na vyombo vya habari kuhusu kauli za Haji Manara alizozitoka jana Agosti 4, 2021 akishtumu uongozi wa Simba SC. Ayo TV iko Mubashara muda huu unaweza ukafuatilia mwanzo mwisho anachozungumza muda huu. "Akubali akatae lazima aende kusoma zama zimebadilika kwasasa mpira unahitaji watu waliosoma, timu zetu zinapoelekea kwasasa zinahitaji watu wenye taaluma kwahiyo asitupie lawama kwa Simba"- Mwijaku

Category

Show more

Comments - 416