Duration 21:46

MadeinTanzania Tulichokiona katika Safari ya Kutazama Bidhaa za Kitanzania katika Mwaka 2020

548 watched
0
14
Published 11 Jan 2021

Fahari ya Made in Tanzania kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha Imetengeneza madaraja na wafanya biashara wakubwa mpaka wadogo. Tunashukuru sana kwa wafuatiliaji wote wa #MadeinTanzania, mwaka 2021 tutaendelea kuunganisha madaraja katika bidhaa za Kitanzania na kuonyesha Bidii za Watanzania katika Uzalishaji. Usiache Ku-SUBSCRIBE Xtreme Media kuendelea kupata shows mbalimbali zenye kuelimisha na kukupa maarifa zaidi.

Category

Show more

Comments - 0