Duration 11:00

MKE WA ROMA AJIBU ISHU YA KUTOKA KIMAPENZI NA MCHEZAJI WA YANGA: STAMINA ANATAKA NIACHANE NA ROMA

6 163 watched
0
65
Published 10 Jun 2020

Mke wa Roma, Nancy amefungua Saloon ambapo alipata fursa ya kuzungumza mambo mengi pamoja na tuhuma za kutembea na mchezaji wa Yanga wakati mume wake yupo nchini Marekani. Nancy amekanusha uvumi huo na kudai Stamina ana wivu anatakamini ndoa yao ivunjike kama ilivyovunjika ndoa yao.

Category

Show more

Comments - 10