Watch this fl studio tutorial. Learn how to remake Darassa Feat. Sho Madjozi - I Like It produced by abbah on fl sudio
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya Darassa Feat. Sho Madjozi - I Like It ambayo imetengenezwa na abbah process pamoja na mbinu mbalimbali zilizo tumika katika vocal chops na vocal chops samples