Duration 6:39

WASTARA AIBUKIA MISS ALBINO, ATOA KAULI MASTAA, VIONGOZI KUSUSIA NI BALOZI, MIE MLEMAVU

1 832 watched
0
9
Published 15 Jun 2021

Kutokea Morogoro limefanyika Shindaño la Urembo kwa Watu wenye Uelewa juu ya Ualbino, shindano ambalo limesimamiwa na Chama cha watu Wenye Ualbino Tanzania (TAS). Katika shindano hilo ambalo limejumuisha jumla ya warembo 15 wakiwemo watatu wenye ualbino na na 13 wasio na ualbino, watu mbalimbali walijitokeza kushuhudia akiwemo muigizaji huyo Wastara Juma ambaye alitaja shababu ya yeye kuibukia katika shindano hilo.

Category

Show more

Comments - 1