Duration 1:30

Jumamosi 19 Juni 2021.. Nimepata nafasi kushukuru kwa malezi niliyoyapata Umoja wa Vijana wa CCM.

109 watched
0
2
Published 20 Jun 2021

Jumamosi 19 Juni 2021.. Nimepata nafasi kushukuru kwa malezi niliyoyapata Umoja wa Vijana wa CCM. Nilianza nikiwa Mwenyekiti wa Chipukizi tawi kisha Jimbo na kisha Mjumbe wa Mkutano Mkuu Chipukizi Wilaya. Mjumbe wa Baraza la wilaya UVCCM, Mwenyekiti UVCCM Jimbo. Mwenyekiti UVCCM Mkoa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) Vijana, Kaimu Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar hatimae Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar kisha Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa 2015 -2018 kisha kuelekea kwenye utumishi wa Chama Cha Mapinduzi . Hakika UVCCM ni Tanuri la kuoka Vijana . Mwenyezimungu ni Mwema🙏 Sitawangusha.

Category

Show more

Comments - 0