Duration 10:44

Huyu ndiye Dk Magufuli | alizaliwa katika familia ya kimaskini | familia ilijijenga wilayani Chato

269 644 watched
0
786
Published 18 Mar 2021

Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefariki dunia Machi 17, 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Category

Show more

Comments - 92