Duration 7:44

ALAMA ZA ZANZIBAR: Balozi za Kigeni kabla ya mwaka 1900

8 323 watched
0
58
Published 9 Jun 2021

Zanzibar ilianza kuwa taifa linalotambuliwa na mataifa makubwa ya kigeni kabla ya mwaka 1900. Ushahidi ni kuwepo kwa balozi za mataifa hayo kwenye ardhi ya Zanzibar, zikiwemo Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani. Msikilize Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Bwana Othman Masoud Othman.

Category

Show more

Comments - 48