Duration 28:57

AZAM FC 1-3 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - )

537 542 watched
0
1.4 K
Published 22 Feb 2019

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendelea kutafuna viporo vyao baada ya leo kuichapa Azam FC kwenye mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere aliyefunga mawili dakika ya 5 na 78, huku bao lingine likifungwa na John Bocco dakika ya 39. Goli pekee la Azam limefungwa na Frank Domayo dakika ya 81 huku bao lao lingine likikataliwa na mwamuzi.

Category

Show more

Comments - 119