Duration 57:16

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Mrisho Mpoto 'Mjomba' alipofunguka 'ya kutosha' kuhusu sanaa na soka

55 286 watched
0
315
Published 21 Sep 2018

Ni msanii mahiri wa mashairi na nguli mwenye staili ya kipekee ya kughani, Mrisho Mpoto almaarufu 'Mjomba' ndio mgeni kwenye #NyundoyaBaruanMuhuza. Unajua kuwa Mpoto ni shabiki wa Simba SC 'kindakindaki'?Unajua kuwa licha ya kufeli darasa la saba lakini usanii umempeleka kusoma kwenye vyuo vikuu vingi duniani? Unamjua 'Mjomba? aliyekusudiwa kwenye nyimbo yake ya 'Salamu'? Gwiji huyu amefunguka yote hayo kwenye #NyundoyaBaruanMuhuza na ameendea mbali zaidi kwa kuweka ahadi dhidi ya Yanga SC. Tazama mahojiano haya mazito. Nyundo ya Baruan Muhuza ni kila Alhamisi saa 1:00 usiku, Azam Sports 2.

Category

Show more

Comments - 53