Duration 23:22

Unapenda kujua maisha ya Norway Mtanzania Alice Mtui anayaonesha kwenye channel yake hii ya YouTube

35 091 watched
0
474
Published 24 Oct 2020

Alice Mtui ni Mtanzania aishiye nchini Norway. Pamoja na kufanya kazi huko, ana channel yake ya YouTube iitwayo From Tanzania and Norway ambayo huitumia kuongelea maisha na tamaduni za nchi hizo mbili. Unaweza kusubscribe kwenye channel yake kwa kufuata link hii: /c/FromTanzaniatoNorway

Category

Show more

Comments - 404