Duration 4:59

Maelfu ya wananchi Arusha wajitokeza kuwapokea viongozi wa Ukawa na wanachama wapya.

122 182 watched
0
269
Published 15 Aug 2015

Maelfu ya wananchi wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha wamejitokeza kumpokea na kumsikiliza mgombea urais wa CHADEMA kupitia UKAWA na waziri mkuu wa zamani Mh. Edward Lowasa huku wakishuhudu wanachama wa (CCM) na viongozi akiwemo aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Laurence Masha.

Category

Show more

Comments - 25