Duration 2:54

MIMBA KWA WANAFUNZI

182 watched
0
0
Published 3 Jun 2018

Imefahamika kuwa kesi nyingi za mimba kwa wanafunzi zinazofikishwa katika mahakama za wilaya ya Nkasi katika siku za karibuni zimekuwa zikiwatuhumu wanafunzi kwa wanafunzi kupeana ujauzito, tofauti na siku za nyuma ambapo watuhumiwa wengi walikuwa ni watu wazima.

Category

Show more

Comments - 0