Duration 8:5

MIUJIZA NA MAAJABU YA MUNGU YA KUSHANGAZA YALIYOPO TANZANIA

1 444 watched
0
6
Published 5 Feb 2021

please subscribe to this channel Hii ni miujiza ya uumbaji wa mwenyezi Mungu nchini Tanzania Daraja la Mungu ni miongoni mwa uumbaji wa Mungu wa maajabu chini Tanzania, ni daraja lisilojengwa na binadamu Yeyote yule lenye miujiza mingi inayotokea kwenye daraja hilo Pia nchini Tanzania kuna ziwa linaloakisi mwomekana wa bara la Afrikana yaani ni kama bara la Afrika limechorwa kupitia ziwa hilo Tazama video hii hadi mwisho kujionea miujiza yote hii usisahau kusubscribe channel hii @gudmademedia

Category

Show more

Comments - 0