Duration 5:42

MAMA MZAZI AMEUA WATOTO WAKE MWENYEWE KWA SUMU

407 watched
0
3
Published 8 Dec 2020

Regina Daniel (24), mkazi wa Louxmanda anatuhumiwa kuwauwa Watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodhaniwa kuwa ya Panya - Kamanda wa Polisi Mkoani humo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema chanzo cha Mauaji hayo ni ugomvi wa kifamilia kati ya Regina na mume wake #UKATALI

Category

Show more

Comments - 0