Duration 1:33

Je Mtoto kutogeuka Tumboni husababishwa na Uvimbe kwenye Mji wa Uzazi

2 558 watched
0
17
Published 24 Oct 2021

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito. /c/DrMwanyika Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://www.instagram.com/dr._mwanyika/ Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://mamaafya.com/ Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://www.facebook.com/JapideAfya/ Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wapnum.mamaafyaapp #drmwanyika #mamaafya #UvimbeMjiwaUzazi

Category

Show more

Comments - 49
  • @
    @LucyKulaya-bj5owlast month Habar doctor ninamimb ya mienz minne naninavimb nje yakizaz nne ila mbil nikubwa san st9 yan naumwa nimeend osptl nimepewa dawa zamaumiv lkn usk silal naumwa aswa nimenyej jamn 1
  • @
    @hawakoja15025 months ago Mm nilikua mjamzito na nilikua na uvimbe kwenye mirija nilixhauriwa ikifika miez 4 ya ujauzito nifanyiwe oparesheni na nimefanyiwa kutolewa uvimbe uku nikiwa na ujauzito alhamdulilah 🙏 nimejifungua salama week37 na siku 5 baby boy ... 1
  • @
    @ney7c4793 years ago Dr. Natamani kujiunga kwenye group lako la WhatsApp, naomba utaratibu wa kulipia ili niweze kupata hiyo nafasi.
    Asante.
    2
  • @
    @enzoferrari60302 years ago Jamani docta mm Nina mimba miez 6 pia Nina uvimbe ndani ya kizazi je naweza jifungua salama mana naogopa sana 1
  • @
    @winniefelix57543 years ago Habar yko doctor , samahan Mimi Nina ujauzito wa miez 3 saiv lakin mwanzon ujauzito wangu ulikuwa ukinisumbua Sana Mara kiuno kinauma, Mara tumbo, Mara kichwa kichefuchefu ad bleeding kbisa, Sasa nilienda hospital nikafanyiwa kipmo Cha ultrasound nikaambiwa kuwa Nina uvimbe maji kwenye ovary ya upande wa kulia nilipewa dawa nkatimia lkn haikusaidia kitu uvimbe bd uko palepale Ila dam zimekata na wamesema maendleo ya mtoto ni mazr af doctor akanishauri kuhus uvimbe niuache jinsi ulivyo had nitakapojifungua, Sasa swali langu ni je huu uvimbe huwez kuathiri ukuaj wa mtoto wangu??? Na vp kuusu usalm wangu na wa mtoto kwasbb uvimbe unaendlea kukua?? Na je Kuna madhara yyt nikibaki nao au vp msaada wako please ... 1
  • @
    @franciskaasenga62773 years ago Dokta me nimeambiwa Nina ipendex Alf Nina mimb ya miez 3 nimeandikiwa sindano naon maumiv yamepunguwa mn nilikuwa naumwa cm tumbo upande was kulia jee hii ain madhar 1
  • @
    @Amisakate3 years ago Hey Dr Nina mimba almost 27 weeks but mme wng mkorofi sana hunipiga vibaya na kunikula roho(kunifokea) kila wakati yani nakaa mwenye huzuni mdaa wote ila nahisi mtoto wng atakua na tatizo lolote please neleweshe 1
  • @
    @sirielmbise20203 years ago Asante dr kwa darasa nzuri kwetu, mmi nina ujauzto wa kwanza na sas una miez 9 na makdrio yalipita juzi trh 27 naomba kuuliza ntachukua mda gan kujifungua??? 2
  • @
    @asiamussa37803 years ago Dr wetu samahani..Natanguliza shukrani kwa elimu unayotupatia imenipa mwanga kwa baadhi ya vitu,naomba niulize nisamehe kwa kutoka nje ya mada kidogo.. nilikutana na mwenza wangu siku ya 13 baada ya kumaliza period, je hapo kuna uwezekano wa kupata mtoto mwenye jinsia gani??? ... 1
  • @
    @hudaamohamedy45903 years ago Iv dokt mm nina mmb y miez nane xx ila tumbo lnaum xn alf lnaach alf lkiach naharixh labd tatiz nn 1
  • @
    @fahamumbava37023 years ago Dr.mimi ninauvimbe.(mayoma) upo nje ya kizazi .upo 5.4 tatizo nikwamba nahitaji ujauzito.ila sipati. Nilikuwa nataka nikipata. Ikishafika wakati wa kujifungua nipate mtoto na kutoa uvimbe. Kbs. Nifanyaje 1
  • @
    @fadhilatembatemba43333 years ago Habar doctor nasumbuliwa na namafua ninaweza kutumia dawa gani nina ujauzito wa wik 38 sasa, asante
  • @
    @hudaamohamedy45903 years ago Iv dokt mjmzt presh ikiwa inamsmbuwa san anywe dawa gn au kitu gn 1