Duration 4:41

Jinsi ya Kulinganisha - Mimi ni mkubwa kuliko Rita

439 watched
0
18
Published 25 Aug 2021

Kulinganisha Kuliko Zaidi ya kushinda Kupita Kuzidi Kiwango cha Wastani Kama Sawa Sawasawa Vilevile Kiwango cha juu Zaidi ya yote/wote/-ote/-o-ote Mifanoya Sentensi; Mimi ni mrefu kuliko Rita Kitanda changu ni kikubwa zaidi ya vitanda vyote/kitanda chochote Heri kuchelewa kuliko kukosa Afadhali kuchelewa kuliko kukosa

Category

Show more

Comments - 12